728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 2, 2017

  KAMPENI YA "NG'ARISHA NZENGO, UCHAFU NUKUSI" YAZINDULIWA JIJINI MWANZA.

  Mei Mosi 2017, umefanyika uzinduzi wa kampeni ya "Ng'arisha Nzengo, Uchafu Nuksu" inayoratibiwa na 102.5 Lake Fm Mwanza @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.

  Kampeni inalenga kuhamasisha jamii kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote huku Wananzengo wa minadani wakipata fursa ya kipekee. Endelea kuitegea sikio 102.5 #LakeFm Mwanza kwa burudani na habari zaidi.

  @bmghabari @gbpazzo ©Ng'arishaNzengoUchafuNuksi√√√√
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMPENI YA "NG'ARISHA NZENGO, UCHAFU NUKUSI" YAZINDULIWA JIJINI MWANZA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top