728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, May 26, 2017

  DKT SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakia kheri katika mwezi huo,pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusima Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DKT SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top