728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 1, 2017

  DIWANI WA KATA YA BUZURUGA JIJINI MWANZA AONGOZA WAKAZI WA KATA HIYO KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI KATIKA KITUO CHA AFYA BUZURUGA.

  Diwani wa Kata ya Buzuruga Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Richard Machema (kushoto), akishiriki zoezi la usafi pamoja na Wananzengo wengine wa Kata hiyo katika Kituo cha Afya Buzuruga hii leo, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, 2017.
  BMGHabari
  Wananzengo wa Kata ya Buzuruga wakiwa pamoja na diwani wao, Richard Machema (mwenye kofia), katika zoezi la usafi kwenye Kituo cha Afya Buzuruga hii leo, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, 2017.
  Zoezi la usafi la kuondoa vichaka na taka katika mazingira ya Kituo cha Afya Buzuruga limeelezwa kusaidia kuteketeza maficho ya masalia ya mbu pamoja na baadhi ya vijana wasio na maadili mema waliokuwa na desturi ya kujificha kwenye vichaka hivyo kwa sababu mbalimbali ikiwemo uvutaji wa bangi.
  Uteketezaji wa taka hatarishi ikiwemo chupa umelalamikiwa na wakazi wa Kata ya Buzuruga na kuomba suala hilo kufanyiwa kazi ili kuwa na uteketezaji taka usio hatarishi katika jamii
  Usafi ukiendelea
  Usafi ukiendelea

       Mwananzengo wakiongea na Lake Fm kuhusiana na usafi huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DIWANI WA KATA YA BUZURUGA JIJINI MWANZA AONGOZA WAKAZI WA KATA HIYO KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI KATIKA KITUO CHA AFYA BUZURUGA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top