728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, May 28, 2017

  BULEMBO ATINGA IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA LEO, ATAKA MADIANI KUFANYAKAZI KWA KARIBU NA MABALOZI


  Tabora, Tanzania

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo, ameendelea na ziara yake ya Kichana katika mikoa mitano ambapo leo ziara hiyo imemfikisha katika Wilaya za Igunga na Nzega mkoani Tabora, ambako amefazungumza katika vikao vya ndani na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za CCM za wilaya hizo, Mabalozi na watendani wa CCM na Serikali.

  Pamoja a kuzungumzia uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea ngazi za mashina, pia amesisitiza haja na umuhimu wa madiwani kufanya kazi kwa Karibu na Mabalozi. Zifuatazo ni mfululizo wa matukio katika picha kuhusu ziara hiyo, tafadhali endelea kutazama.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BULEMBO ATINGA IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA LEO, ATAKA MADIANI KUFANYAKAZI KWA KARIBU NA MABALOZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top