728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 2, 2017

  BOSI MPYA SHIRIKA LA POSTA AJA NA MATUMIZI YA TEHAMA

   Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam.
   Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofisini kwake jana Jijini Dar es Salaam.
  Afisa Mtenda Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania aliyemaliza muda wake akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati wa mkutano wa waandishi hao na mrithi wake Deo Kwiyukwa (hayupo pichani) jana Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Fedha na Uhasibu Cyprian Mugemuzi.Picha na: Frank Shija – MAELEZO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BOSI MPYA SHIRIKA LA POSTA AJA NA MATUMIZI YA TEHAMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top