728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 16, 2017

  APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUTISHIA KUUA

   Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

  Mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Ahmad Khalifa  amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu  kwa kosa la kumtishia kumua Hawa Mshama.

  Akisomewa mashtaka hayo katika Mahakama ya mwanzo Kinondoni mbele ya Hakimu Marko Mochiwa chini ya kifungu cha 89 -16 (2) mnamo tarehe 9/5/2017  eneo la Kinondoni Msisiri mshatikiwa alitoa lugha ya matusi  kwa Bi Hawa Mshama .

  Hata hivyo mshatikiwa alikana shitaka hilo na kuambiwa kuwa dhamana iko wazi na akishindwa ataenda mahabusu mpaka kesi hiyo itakapotajwa tena Mei 24.

   Ahmad Khalifa   akingizwa katika mahakama ya mwanzo Kinondoni

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUTISHIA KUUA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top