728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, April 22, 2017

  Yanga yaibutua Tanzania Prisons 3-0 kombe la FA

   Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiruka juu sambamba na kipa wa Tanzania Prisons, Andrew Ntala katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-0.
  Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo lililofungwa na Amis Tambwe.
   Wachezaji wa Tanzania Prisons wakiomba dua kabla ya mchezo.
   Mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Yanga na Prisons.
  Godfrey Taita akichuana na mchezaji wa Yanga.
  Kipa wa Tanzania Prisons, Andrew Ntala, akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
  Hekaheka katika lango la Prisons.
  Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akimtoka kipa wa Tanzania Prisons, Aron Kalambo, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0. (Picha na Francis Dande).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Yanga yaibutua Tanzania Prisons 3-0 kombe la FA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top