728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, April 22, 2017

  WIZARA YA ARDHI YA WAFUNDA WAANDISHI JUU YA KODII YA ARDHI NA KODI YA MAJENGO DAR ES SALAAM

   Kaimu Kamishna wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Wilson Ruge akizungumza na Waandishi wa Habari wakati ufunguzi wa mafunzo wa Waandishi wa habari wa Masuala ya ardhi nchini juu ya kutambua umuhimu wa Kulipa Kodi ya Ardhi kwa Wizara ya Ardhi na Kodi ya Majengo kwa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
   Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mboza Lwandiko akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara
   Afisa Msaidizi wa huduma kwa mlipa kodi Maya Magimba akitoa somo kwa Waandishi wa Habari juu ya umuhimu wa kulipa kodi ya majengo na kutofautisha kodi hiyo na kodi ya Ardhi maya ambaye aliwataka waandishi wa habari kutumia mafunzo hayo kwa ajili ya kuwa elimisha Watanzania hili waweze kulipa kodi za ardhi kama inavyohitajika kwa mujibu wa sheria
   Afisa Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Denis Masami akifafanua masuala muhimu ya Ardhi kwa Waandishi wa Habari
  Mmoja ya Waandishi wa Habari akiuliza swali kwa wakufunzi kuhusu ulipaji wa kodi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WIZARA YA ARDHI YA WAFUNDA WAANDISHI JUU YA KODII YA ARDHI NA KODI YA MAJENGO DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top