728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 5, 2017

  WAZIRI MUHONGO AZINDUA JUKWA LA NISHATI JIJINI DAR ES SALAAM

   Waziri wa Nishati na Madini , Prof Sospiter Muhongo akizungumza wakati wa uzinduzi wa jukwaa Nishati nchini
   Waziri wa Nishati na Madini, Profesa .Sospiter Muhongo  akifungua kitamba kuashiria uzinduzi wa Jukwaa la Mazingira.
   Washiriki wa ufunguzi wa jukwaa hilo wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini
   Baadhi ya mabalozi wakifuatilia hotuba ya waziri Muhongo.
   Mtaalam wa Madini , Ariph Kimari  akitoa maelezo kwa mmoja wa wadau  waliofika katika maonesho yaliyopo katika mkutano huo
   Meneja Majanga  wa TPDC , Amour Marine akitoa maelekezo kwa watu waliofika kutembelea banda hilo.
  Dk Isack  Legonda  kutoka cho kikuu cha Dar es Salaam akitoa maelezo kwa wadau walifika katika banda hilo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MUHONGO AZINDUA JUKWA LA NISHATI JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top