728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 5, 2017

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAKALA WA PEMBEJEO ZA KILIMO

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mawakala wa pembejeo za kilimo kwenye ukumbi wa Spika, bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji na wapili kulia kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvu Tete Ole-Nasha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAKALA WA PEMBEJEO ZA KILIMO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top