728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, April 4, 2017

  WAZIRI MKUU ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MBUNGE DR ELLY MACHA   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mbunge  Dr Elly Marko Macha , katika Viwanja  Bunge Mjini  Dodoma  3 March 2017 Mbunge huyo  amefariki hivi karibuni  alipo kuwa katika matibabu Nchini Uingereza.Picha na PMO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MBUNGE DR ELLY MACHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top