728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 3, 2017

  WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MRUSHA ,HATARINI KUDONDOKEWA NA KUTA ZA MADARASA TUNDURU

  Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera akimkabidhi mwanafunzi wa Shule ya msingi Mrusha Anna Nathan kwa niaba ya wanafunzi wenzake pesa kiasi cha shilingi elfu hamsini (50,000) kwa ajili ya kununua sukari ya kuweka katika uje wa wanafunzi. (Picha habari na Ruvuma TV ). Wanafunzi wa shule ya msingi Mrusha wilaya ya Tunduru mkoani Tuvuma wapo hatari kudondokewa na kuta za madarasa wanayoseomea kutona na madarasa hayo kuwa na nyufa za muda mrefu, Habari kamili hii hapa video yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MRUSHA ,HATARINI KUDONDOKEWA NA KUTA ZA MADARASA TUNDURU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top