728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, April 30, 2017

  WADAU MICHAEL KESSY NA FRANSISCA WAMBURA WANG'ARA JIJINI MWANZA.

  Wadau wetu wa nguvu, Bwana Michael John Kessy na Miss Fransisca Wambuwa hii leo April 29,2017 wameng'ara baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Roman Catholic (RC) Kirumba Jijini Mwanza.

  Ndugu, jamaa na marafiki wameungana na wadau hao kwenye hafla ya kuwapongeza kwenye ukumbi wa Sun City Hotel Jijini Mwanza ambapo kama kawaida, Mshereheshaji mahiri Jijini Mwanza, Katumba Maduwa ameongoza vyema sherehe hiyo.
  Binagi Media Group
  Muda wa kufungua shampeni
  Maharusi wakikata keki
  Wasaa wa maharusi kukata keki
  Kwa upendo mkubwa, maharusi wakilishana keki
  Best man Simba Akida na best lady Keflen Ezekiel wakijilisha keki
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WADAU MICHAEL KESSY NA FRANSISCA WAMBURA WANG'ARA JIJINI MWANZA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top