728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, April 8, 2017

  TUMEKUSOGEZEA GOLI NA HIGHLIGHTS ZA MCHEZO WA MAJIMAJI VS AFRIKA LYION, MAJI MAJI 1 AFRIKA LYION 1

  Timu ya Maji Maji imelazimishwa sale ya 1 – 1 na Afrika Lyion katika mchezo uliochezwa uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma, Goli la Afrika Lyion limepatikana kipindi cha pili dakika ya 61 baada ya shuti kali lililopigwa na Peter Mwalyanzi , huku goli la Maji Maji limepatikana dakika ya 74 na Kelvin Sabato .
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TUMEKUSOGEZEA GOLI NA HIGHLIGHTS ZA MCHEZO WA MAJIMAJI VS AFRIKA LYION, MAJI MAJI 1 AFRIKA LYION 1 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top