728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 19, 2017

  TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAENDESHA MKUTANO WA WADAU KUHUSU MAPITIO YA SHERIA ZINAZOHUSIANA NA USAJILI WA MATUKIO MUHIMU YA BINADAMU TANZANIA BARA

  Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujuliza (Kulia) akisisitiza jambo wakati mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara, kushoto ni Bw. Albert Msangi.
  Sehemu ya washiriki  wa mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara.
  Mmoja wa washiriki akichangia wakati wa mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu Tanzania Bara
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAENDESHA MKUTANO WA WADAU KUHUSU MAPITIO YA SHERIA ZINAZOHUSIANA NA USAJILI WA MATUKIO MUHIMU YA BINADAMU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top