728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, April 13, 2017

  TTB YAWAPELEKA NGONGORO WASHINDI WA KUTUMA PICHA KATIKA KUTEMBELEA UTALII WA NDANI

   Washindi wa shindano la kupiga picha wakiwa mbugani kutangaza utalii wa ndani wakiwa wameongoza na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya utalii Tanzania(TTB) ,Devotha Mdachi (katikati) wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JNA Dar es Salaam kwa ajili ya Safari ya kuelekea Ngorongoro  na Serengeti kujionea vivutio zaidi ili kuweza kuwavutia watanzania wengine kutembelea vivutio hivyo.
   Washindi wa shindano hilo wakiwa na wenza wao wakijadili jambo kabla ya kuondoka na ndege ya shirika la ndege nchini Air Tanzania kuelekea katika mbuga za wanyama za Ngorongoro na Serengeti,ikiwa ni moja ya sehemu ya Safari zilizoratibiwa na bodi ya utalii nchini (TTB) kwa ajli ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa Watanzania
  Afisa uhusiano wa Bodi ya utalii Tanzania  akizungumza jambo na washindi wa shindano la kutuma picha kwa wapenzi ambao walishawahi kutembelea mbuga za wanyama ambao walipata kushinda tena fursa ya kutemmbelea Mbuga ya Ngorongoro na Serengeti.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TTB YAWAPELEKA NGONGORO WASHINDI WA KUTUMA PICHA KATIKA KUTEMBELEA UTALII WA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top