728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, April 11, 2017

  TIB CORPORATE YAWAKUTANISHA WADAU WA MAENDELEO JIJINI MWANZA

    Mkuu wa kitengo Cha masoko na mahusiano ya Benki ya TIB CBL ,  Bi Theresia Soka akiwasilisha mada juu ya huduma zinazopatikana katika benki hiyo kwa washiriki wa jukwaa la biashara lililofanyika katika ukumbi wa Rock City jijini Mwanza.

  Jukwaa hili limehusisha wadau mbalimbali ili kujadili na kutambua fursa mbalimbali zinazopatikana katika mkoa wa Mwanza.
  Wadau mbalimbali wa kiwa kwenye picha ya pamoja walioshiriki kwenye jukwaa la biashara lililofanyika katika ukumbi wa Rock City jijini Mwanza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TIB CORPORATE YAWAKUTANISHA WADAU WA MAENDELEO JIJINI MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top