728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 3, 2017

  TANZIA: PROFESA BINAGI AFARIKI DUNIA

  "Ni simanzi kubwa, baba yetu mdogo, Profesa Lloyd Manamba Binagi, amefariki dunia hii leo Jijini Dar es salaam.

  Taratibu za kuusafirisha mwili kwenda nyumbani Tarime zinafanyika. Pumzika kwa amani baba, ulikuwa nguzo muhimu kwetu, daima tutakukumbuka, Amina". George Binagi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TANZIA: PROFESA BINAGI AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top