728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, April 16, 2017

  SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR

   Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

   Kwaya ya watoto ikiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo kanisani hapo leo
   Waumini wakiwa makini kusikiliza mahubiri wakati wa ibada hiyo ya Pasaka

   Waumini wakiimba na kucheza kwa furaha wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo   Wazee wa Kanisa wakiongoza kutoka nje baada ya ibada lumalizika
   Mchungaji Mungubariki Mauki (kushoto) na Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya wakiongoza kuimba wimbo wakati wa kutoka nje baada ya ibada kumalizika
   Waumini wakitoka huku wakiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo


   Mchungaji Mungubariki Mauki akitoa neno la kuwaombea waumini alipokuwa akimalizia ibada ya pasaka nje ya kanisa hilo
   Waumini wakisikiliza neno la mwisho kutoka kwa Mchungaji Mauki kabla ya kuruhusiwa kuondoka
   Waumini wakiondoka kanisani baada ya Ibada ya Pasaka kumalizika   Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

   Mchungaji Mungubariki Mauki akipigapicha na  familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top