728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, April 4, 2017

  PROGRAMU YA JIONGEZE KIJANA YAZINDULIWA JIJINI DAR

   Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Savants Initiative Bw. Peter Thadeo (kulia) akifafanua  jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Jiongeze Kijana mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Afisa Mawasiliano toka kituo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa Bi. Stella Vuzo na kushoto ni Afisa Habari toka Iadara ya Habari (MAELEZO) Bw. Benjamin Sawe.
  Afisa Mawasiliano toka Kituo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa Bi. Stella Vuzo (kushoto) akisisitiza jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Jiongeze Kijana mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Savants Initiative Bw. Peter Thadeo na kulia ni Mwanzilishi na afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Inspassion group Bw. Fortunatus Ekklesiah
  Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PROGRAMU YA JIONGEZE KIJANA YAZINDULIWA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top