728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, April 23, 2017

  PINI MPYA YA PETTY BARAKA - KAZI YA MOYO

  Ninao hapa wimbo mpya wa Petty Baraka unaitwa Kazi ya Moyo iliyotengezwa Studio ya Pamoja Records ya Nas B 
  Petty Baraka ni msanii anayefanya kazi nzuri ya muziki,awali alikuwa Mabatini jijini Mwanza sasa anapatikana Temeke jijini Dar es salaam,wasiliana naye kwa simu namba 0653 710 388 
  Petty Baraka anawaalika wapenzi wa muziki kumpokea kwa mikono miwili ili kutimiza ndoto zake katika muziki. 
  Sikiliza wimbo Kazi ya Moyo ya Petty Baraka hapa chini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PINI MPYA YA PETTY BARAKA - KAZI YA MOYO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top