728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, April 29, 2017

  NSSF YATOA MIFUKO YA SIMENTI 800 NA NONDO KWA AJILI YA UJENZI WA ZAHANATI KATIKA KIJIJI CHA MATAMA WILAYA SONGEA VIJIJINI

  Shirika la hifadhi ya jamii NSSF limetoa msaada wa simenti mifuko 800 na rolu 400 za nondo kwa ajili ya ujenzi wa zahanati katika kijiji cha matama kata ya muhukuru halimashauri ya wilaya ya songea mkoani Ruvuma. Shirika hilo limechukua hatua ya kutoa msaada huo baada ya hadha kubwa waliyokuwa wanaipata wananchi hawa ya kufuata matibabu umbali wa kilometa 62 kama anavyobainisha meneja wa NSSF mkoa wa Ruvuma BI MARIAM MUHAJI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NSSF YATOA MIFUKO YA SIMENTI 800 NA NONDO KWA AJILI YA UJENZI WA ZAHANATI KATIKA KIJIJI CHA MATAMA WILAYA SONGEA VIJIJINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top