728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, April 29, 2017

  Ngoma Africa band na muziki wao imetua kwa Wayaudi kutumbuiza sherehe za uhuru Yom Haatzmaut

  Habari nyeti zimevuja kuwa Ngoma Africa band aka FFU bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya yenye makao kule ujerumaniinatua nchini Israel kutumbuiza katika onyesho maalum la siku ya uhuru wa nchi ijulikanayo kama  Yom Haatzmaut siku ya tarehe 1 mpaka 2 Mai 2017 mjini Tel Aviv,mmoja ya wanaitifaki wa maonyesho hayo Bi.Shimone amesema bendi hiyo ndio ya kwanza ya kiafrika kupata mwaliko wa kutumbuiza katika maonyesho hayo lakini akutaka kuelezea zaidi.Habari za uhakika zimevuja kuwa bendi hiyo imesafiri kimya kimya kutoka ujerumani kuelekea kwa wayaudi kwa ajili ya onyesho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ngoma Africa band na muziki wao imetua kwa Wayaudi kutumbuiza sherehe za uhuru Yom Haatzmaut Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top