728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, April 2, 2017

  NDUGAI,TULIA WAMLILIA MBUNGE MAREHEMU MACHA


  Spika wa Bunge  Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mhe. Elly Macha, uliotokea juzi katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu, katika tukio lililofanyika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma

  Naibu Spika wa  Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mhe. Elly Macha, uliotokea juzi katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu, katika tukio lililofanyika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NDUGAI,TULIA WAMLILIA MBUNGE MAREHEMU MACHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top