728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, April 14, 2017

  MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO

  Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Ndugu Amina Makillagi (kulia), Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (kushoto) pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 14, 2017. PICHA NA IKULU 
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiongea leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top