728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, April 20, 2017

  MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE


  Mtoto Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa.

   Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi zifuatazo

   0782412840 AU 0659296329 AU 0713251344,

  0718237250 AU 0713484838 AU 0655188918 AU 0658023243 AU 0713483436 AU 0784675774.

   TAFADHALI TUNAOMBA SAMBAZA UJUMBE HUU KWENYE MAGROUP MENGINE KADRI IWEZEKANAVYO.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top