728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, April 6, 2017

  MKUU WA WILAYA YA ARUMERU AHOJIWA NA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE

  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Alexander Mnyeti akihojiwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge baada ya kuitikia wito wa kamati hiyo, Bungeni mjini Dodoma leo, kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na Matamshi aliyoyatoa mapema mwaka huu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha yaliyokuwa na madai ya kuidharau Bunge. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUU WA WILAYA YA ARUMERU AHOJIWA NA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top