728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 5, 2017

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha afanya mkutano watendaji wa Kata na Mitaa

   Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na watendaji wa Kata na Mitaa(hawapo pichani) wakati wa Kikao kazi cha Ukusanyaji wa Kodi ya Majengo.
    Wajumbe wa Kikao wakifuatilia kikao kazi walichofanya na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
  Mtendaji wa Mtaa wa Panga, Kata ya Kati Bi. Maria M. Singo(Aliyesimama) akichangia hoja kwenye kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kuhamasisha ukusanyaji wa Kodi ya Mapato.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mkuu wa Mkoa wa Arusha afanya mkutano watendaji wa Kata na Mitaa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top