728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 26, 2017

  MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA

  Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wakiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Bi.Asha Mabula katika viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo uyo kutembelea Bungeni hapo  Mjini Dodoma. Picha na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top