728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, April 28, 2017

  MISS GRAND TANZANIA 2017 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO

   Mratibu wa Shindano la Miss Grand  Tanzania , Rasheedah  Jamaldin akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar, juu ya uzinduzi wa shindano la urembo litakalo tambulika kama Miss Grand Tanzania  2017 linalo tarajia kuanza Juni  mwaka huu,ambapo imeelezwa kuwa mchujo wake utaanzia katika ngazi ya vitongoji mpaka Taifa .
   Meneja Matukio wa Miss Garand  Tanzania 2017 ,Abraham Mahimbo akizungumza na waandishi jisni mawakala watakavyohusika katika kuwapata warembo nchi nzima
  Waandishi mbalimbali waliofika katika mkutano huo wa uzinduzi wa shindano la Miss Garand 2017 jijini Dar es Salaam leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MISS GRAND TANZANIA 2017 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top