728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, April 30, 2017

  MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO

   
   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Said Meck Sadik pamoja na viongozi wengine wa Serikali pamoja na Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa ndege wa KIA. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).Makamu wa Rais atahudhuria sherehe za wafanya kazi Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top