728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 10, 2017

  MAKAMU WA RAIS MH. MAMA SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA KIFIMBO CHA MALKIA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kifimbo cha Malkia kutoka kwa bondia Haji Matumla, Ikulu jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  kif2
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kupokea  kifimbo cha Malkia kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Australia Aprili 2018, jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  kif3

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MH. MAMA SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA KIFIMBO CHA MALKIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top