728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 10, 2017

  MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ATETA JAMBO NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA JIJINI DAR LEO

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa nyumbani kwake mjini Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa kuzindua kikosi kazi cha Taifa cha bonde la mto Ruaha Mkuu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ATETA JAMBO NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA JIJINI DAR LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top