728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 3, 2017

  MAJALIWA AKITETA NA SPIKA WA BUNGE NDUGAI


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Aprili 3, 2017.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Aprili 3, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJALIWA AKITETA NA SPIKA WA BUNGE NDUGAI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top