728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, April 11, 2017

  MABALOZI WAPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WAMUAGA RAIS DK. SHEIN

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mabalozi wapya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha  Tanzania  katika Nchi mbali mbali walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 11/04/2017.
  MAB2
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha  Tanzania katika Nchi mbali mbali,  walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo/ [Picha na Ikulu.] 11/04/2017. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MABALOZI WAPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WAMUAGA RAIS DK. SHEIN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top