728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, April 1, 2017

  KOCHA WA MAJI MAJI AHIDI USHINDI DHIDI YA TOTO AFRICA HAPO KESHO , ASEMA MAJI MAJI HAITASHUKA DARAJA KAMWE

  Kocha Msaidizi wa timu ya Maji Maji (Wanalizombe) , Habibu Kondo amewahakikishia wanachama wa Club ya Maji Maji na wadau wa soka mkoani Ruvuma kuwa timu hiyo haitashuka daraja , hivyo wawe na amani katika michezo hii iliyobakia lazima Maji Maji itashinda na kubaki ligi kuu Tanzania bara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KOCHA WA MAJI MAJI AHIDI USHINDI DHIDI YA TOTO AFRICA HAPO KESHO , ASEMA MAJI MAJI HAITASHUKA DARAJA KAMWE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top