728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 3, 2017

  KESI YA JAMII FORUM KUANZA KUSIKILIZWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

   Mkurugenzi waKampuni ya Jamii Media limited, Mike Mushi akiteta jambo na Wakili wake, baada ya kusomewa maelezo ya awali dhidi ya kesi yao ya mtandao inayomkabili pamoja na mkurugenzi mwenzake, Maxence Melo.
   Wakurugenzi wa Jamii Media Limited, Maxence Melo kulia na mwenzake Mike Mushi, wakiwa wakiwa nje ya mahakama ya Hakimu Kisutu baada ya kesi yao kupangiwa tarehe ya kuanza kisikilizwa.

  Wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha shughuli za mtandao wa kijamii bila kusajiliwa na kuzuia polisi kufanya uchunguzi.

  Kesi iliyopo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba itasikilizwa Aprili 2 wakati kesi nyingine iliyopo mbele ya hakimu Victoria Nongwa itaanza kusikiliza Aprili 3, mwaka huu. Upande wa mashtaka umesema katika kesi hiyo utawasilisha mashahidi saba⁠⁠⁠⁠

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KESI YA JAMII FORUM KUANZA KUSIKILIZWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top