728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, April 28, 2017

  KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA

  Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
  Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
  Wajumbe wa kikao cha uongozi  wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (katikati) akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma​
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top