728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, April 2, 2017

  KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – DODOMA

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. William Lukuvi akisoma taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara katika mwaka wa fedha 2016/17 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/18 kwa kamati ya kudumu ya bunge ya ardhi, Maliasili na Utalii - Dodoma. 
  Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii; Mhe. Atashasta Ndetiye akiongoza majadiliano wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ilioshirikisha Kamati yake na watendaji wakuu wa Wizara na taasisi zake - Dodoma.
  Mbunge wa Korogwe mjini, Mhe. Mary Chatanda akishiriki mjadala wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ilioshirikisha Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii na watendaji wakuu wa Wizara na taasisi zake – Dodoma. 

  Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-
  Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top