728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 10, 2017

  IGP MANGU AKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA MICHEZO YA MAJESHI  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikabidhiwa kombe na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa baada ya timu ya mpira wa miguu ya Polisi Tanzania kuchukua ubingwa katika Michezo ya Majeshi iliyomalizika hivi karibuni Visiwani Zanzibar (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: IGP MANGU AKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA MICHEZO YA MAJESHI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top