728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, April 12, 2017

  Fuatilia LIVE tukio la uwekaji wa jiwe la msingi na uzinduzi wa ujenzi wa reli ya kisasa  Kutoka STESHENI YA PUGU - Dar es Salaam ambako leo tarehe 12 Aprili 2017 kuanzia saa Nne asubuhi, Mhe. Rais Magufuli ataweka jiwe la msingi na kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge railway) wa awamu ya kwanza kutoka Dar es salaam hadi Morogoro.

  Fuatilia moja kwa moja kupitia tovuti rasmi ya Rais, Bofya Link hapa chini. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Fuatilia LIVE tukio la uwekaji wa jiwe la msingi na uzinduzi wa ujenzi wa reli ya kisasa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top