728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, April 3, 2017

  COYO AJA NA KICHUPA KIPYA CHINI YA DIRECTOR NISHER. #ZIWAFIKIE

  Baada ya kuachia wimbo wake wa kwanza 'Njoo Baadae' mwishoni mwa mwaka jana, COYO kutoka Rock City anatukutanisha na video yake mpya 'ZIWAFIKIE', iliyosimamiwa na director kutoka Arusha, Nisher.

  "Naweza kusema hii ndio video yangu ya kwanza ramsi, japo nimewahi kufanya video zingine hapo kabla ambazo nahesabu kama ilikuwa ni safari ya kujifunza" Amesema Coyo.

  "Sababu za kumchagua Nisher, kwanza kiukweli nazikubali kazi zake, nalikubali jicho lake na kwa kuzingatia hii ndio video yangu rasmi ya kwanza, nilihitaji kufanya na mtu makini kama yeye" aliongeza Coyo.

  Audio ya 'ZIWAFIKIE' ambayo inatarajiwa kuanza kusikika kwenye vituo mbalimbali vya redio baadae wiki hii au wiki ijayo, imetayarishwa na maproducer wawili, Daydream na Kid Bway.

  Tafadhali share kadri uwezavyo!


  MITANDAO YA KIJAMII YA COYO:

   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: COYO AJA NA KICHUPA KIPYA CHINI YA DIRECTOR NISHER. #ZIWAFIKIE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top