728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, April 25, 2017

  COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI

   Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja akifafanua jambo kwa mam lishe mbalimbali wa Dar es Salaam wakati wa semina ya mafunzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Benki hiyo itawawezesha Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Huduma hizo zinatotela kwa kushirikiana na Taasisi ya Basila Mwanukuzi.
   Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja (Katikati) akisisitiza jambo kwa Kiongozi wa mama Lishe jijini Dar es Salaam, Getruda Kweka wakati akizungumza na waandishi wa habari, Benki hiyo itawawezesha Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Kulia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi.
   Mama lishe wakiwa wanasikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa benki, ( Hawapo pichani)

  Picha ya Pamoja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top