728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 9, 2017

  WLAC YATOA ELIMU JUUYA HAKI ZA MTOTO KWA WANAFUNZI WA ANANASIFU SEKONDARI

   Mwanasheria wa WLAC , Wigayi Kisandu akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kinondoni ananasifu juu ya umuhimu wa mtoto wa kike katika kukuza uchumi wa Tanzania na familia kwa kuweza kutambua haki zake na majukumu yake
   Kaimu Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari Ananasifu Fatuma Niyopa akizungumza wakati wa mkutano huo ambao umewezesha wanafunzi wa kike kujitambua juu ya haki za mwanamke
  Wanafunzi wa Shule ya sekondari Ananasifu wakiwa katika kikao hicho na tasisi ya Msaada wa Kisheria kwa Wanawake WLAC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WLAC YATOA ELIMU JUUYA HAKI ZA MTOTO KWA WANAFUNZI WA ANANASIFU SEKONDARI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top