728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 8, 2017

  WAZIRI WA ELIMU AKABIDHI MISAADA KWA WAGONJWA WANAWAKE WANAOPATA MATIBABU YA SARATANI KATIKA HOSPITALI YA OCEAN ROAD

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa ameambatana na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi, CCM wakikabidhi vitu mbalimbali Kwa mkurugenzi wa hospitali ya Ocean Road hii leo jijini DSM.
  Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akiwa ameambatana na viongozi wa hospitali hiyo muda mfupi baada ya kuwasili katika hospitali hiyo.
  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlojia Profesa Joyce Ndalichako akiwajulia hali wagonjwa mbalimbali ambao alifika kuwajulia hali pamoja na kuwapatia msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI WA ELIMU AKABIDHI MISAADA KWA WAGONJWA WANAWAKE WANAOPATA MATIBABU YA SARATANI KATIKA HOSPITALI YA OCEAN ROAD Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top