728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, March 24, 2017

  WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA IDARA YA HABARI MAELEZO MARA BAADA YA KUAPISHWA

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe akisalimiana na Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura wakati alipowasili katika ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA IDARA YA HABARI MAELEZO MARA BAADA YA KUAPISHWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top