728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, March 25, 2017

  WAZIRI MUHONGO AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA

  Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akizinduzia Mradi wa umeme Vijijini Mkoa wa Singida. Uzinduzi huo umefanyika jana Machi  24/2017 na kuhudhuriwa na wafadhili kutoka WB, EU, Norway na Denmark ambao wwnafadhili mradi mkubwa wa Backbone unaoanzia Iringa- Dodoma-Singida hadi Shinyanga. Mradi huo wa REA III unatekelezwa kuziba mapengo ya maeneo vijiji ambavyo vimepitiwa na mradi mkubwa wa Backbone na vilirukwa katika Awamu ya REA II.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MUHONGO AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top