728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, March 18, 2017

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONDOKA NCHINI KWENDA MOURITIUS KUMWAKILISHA JPM KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI LA AFRIKA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwenda Port Louis, Mauritius kumwakilisha Rais John Magufuli katika Uzinduzi wa  Jukwaa la Uchumi la Afrika (The Inaugural  Session of The African Economic Platform) , Machi 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONDOKA NCHINI KWENDA MOURITIUS KUMWAKILISHA JPM KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI LA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top