728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, March 17, 2017

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top