728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, March 6, 2017

  WATUMISHI WA SERIKALI, WANANCHI WADAIWA KUSHIRIKIANA KULIMA BANGI NYASA ,WATANO WAKAMATWA

  Baadhi ya watumishi wa serikali wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wamekuwa wakishirikiana na wananchi katika kilimo halamu cha zao la bangi wilayani humu. Mpaka sasa wananchi watano wakiwemo watumishi wa serikali wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kujihusisha na kilimo cha bangi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WATUMISHI WA SERIKALI, WANANCHI WADAIWA KUSHIRIKIANA KULIMA BANGI NYASA ,WATANO WAKAMATWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top